DART Workers SACCOS LTD
Kuwa na mfumo wa kisasa wa usafiri wa umma wenye gharama nafuu kwa watumiaji na faida kwa waendeshaji unaotumia mabasi makubwa yenye ubora unaokidhi
viwango vya kimataifa, yanayohifadhi mazingira, yatakayopita kwenye njia maalum za mabasi na hivyo kupunguza muda wa safari.