TIRA

Follow

This company has no active jobs

0 Review

Rate This Company ( No reviews yet )

    Work/Life Balance
    Comp & Benefits
    Senior Management
    Culture & Value

    TIRA

    (0)

    About Us

    TIRA

     

    Kuhusu TIRA

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), chini ya Sheria ya Bima Na.10 ya mwaka 2009, ni taasisi ya serikali ilioanzishwa ili kutekeleza majukumu ya kusimamia soko na kuendeleza biashara ya bima nchini na masuala yanayohusiana na bima kwa mujibu wa sheria ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Tunaowahudumia

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania inahudumia kampuni za bima zilizosajiliwa, wadau wote na umma kwa ujumla wa bima kwa mujibu wa sheria.

    Contact Us

    https://ajira.anzimag.com/wp-content/themes/noo-jobmonster/framework/functions/noo-captcha.php?code=177cf