Msaidizi wa Ofisi (84 Posts) – JSC
Qualification and Experience
Holder of Certificate, Ordinary Level (CSE) in one of the following fields: Certificate in Office Attendant, Certificate of Office Management, Certificate of Messangerial Course, , Office Clerk or a professional qualification in: Office Attendant or equivalent qualifications from a recognized Institution and minimum age of 18 and maximum age of 45
Duties and Responsibilities
- Kufanya usafi wa ofisi na mazingira ya nje na ndani ikiwa ni pamoja na kufagia, kufuta vumbi, kupiga deki, kukata majani kupalilia bustani, kumwagilia maji bustani, kupanda maua au miti na kusafisha vyoo
- Kuchukua na kupeleka majalada na hati nyingine kwa maofisa wanaohusika na kuyarudisha sehemu zinazohusika
- Kusambaza barua za ofisi kama jinsi atakavyoelekezwa
- Kutayarisha chai ya ofisi
- Kupeleka mfuko wa posta na kuchukua barua kutoka Posta
- Kuhakikisha kwamba vifaa vya ofisi vinawekwa sehemu inayostahili
- Kufungua milango na madirisha ya ofisi wakati wa asubuhi na jioni kuyafunga baada ya saa za kaz
- Kudurufu barua au machapisho kwenye mashine za kudurufia
- Kuweka majalada nakala za barua zilizochapwa katika ofisi walizomo
- Kutunza vifaa vya ofisi na kutoa ripoti kila vinapoharibika.
More Details:
For further details just visit JSC official website to read full Swahili-details in PDF plus other requerements that not listed here. All Applications are done through their portal.
