Msaidizi wa Kumbukumbu (97 Posts) – JSC
Qualification and Experience
Holder of Diploma / FTC in one of the following fields: Diploma in Records and Archives Management, Diploma in Law, Diploma in Law., Ordinary Diploma in Law, Diploma in Law with Shariah, Diploma in Records, Archives and Information Management, Ordinary Diploma in Records, Archives and Information Management, Diploma in Records, Archives and Information Management or equivalent qualifications from a recognized Institution with 0 years of work experience and minimum age of 18 and maximum age of 45
Duties and Responsibilities
- Kupokea wateja na kuwaelekeza taratibu za kimahakama na za kiutawala
- Kuanisha, kufungua, kupanga, kutunza na kuhuisha majalada ya mashauri na kiutawala na kuzipa namba za kiendeksia
- Kufungua mashauri ya Jinai na Madai
- Kutunza na kuhuisha taarifa za mashauri ya Jinai na Madai yanayoendelea
- Kuandaa na kuhuisha orodha ya mashauri ya kila wiki
- Kuandaa wito wa kuitwa kwenye shauri (summons) la jinai au madai
- Kuhakikisha kumbukumbu na nyaraka zinazotoka na kuingia zinakidhi miongozo ya uandishi wa madokezo, barua na taarifa
- Kuweka na kupanga kumbukumbu na nyaraka katika majalada na makabati (file racks/cabinets)
- Kusambaza nyaraka na kumbukumbu za kimahakama na za kiutawala
- Kutunza kumbukumbu za kimahakama na za kiutawala zinazozalishwa kielektroniki
- Kuandaa Kumbi na vyumba vya kusikiliza mashauri pamoja na kuhakikisha wahusika wanafika kwa wakati
- Kupokea, kusajili na kutunza vidhibiti vya mashauri
- Kutoa nakala za mwenendo, hukumu na amri kwa wadaawa.
- Kuandaa na kuwasilisha majalada ya mashauri katika Mahakama husika
- Kuandaa takwimu mbalimbali za mashauri ya jinai na madai ya kimahakama
- Kufanyakazi zingine atakazopangiwa na msimamizi wake.
